MSIHOFU, TUPO VIZURI UGENINI

TIMA SIKILO WAPENZI wa Yanga, wametakiwa kutokuwa na hofu na kikosi chao, kwani wana wachezaji wenye uwezo wa kufanya makubwa msimu ujao, wanaohitaji nguvu kidogo tu iliyopo ndani ya uwezo wa Kocha Mkuu wao, Mwinyi Zahera. Baada ya kukishuhudia kikosi chao kikitoka sare ya bao 1-1 na Kariobangi Sharks ya Kenya na Township Rollers ya Botswana, wapenzi wa Yanga wameonekana kuanza kuvunjika moyo, wakiamini msimu ujao huenda ukawa wa maumivu tena kwao. Mchezo dhidi ya Kariobangi Sharks, ulikuwa ni wa kirafiki uliochezwa Agosti 4, mwaka huu, siku ya kilele cha...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News