Msikiti UDOM ‘wawakutanisha’ Sheikh Ponda, Rais Magufuli

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini ametaka hatua stahiki zichukuliwe kwa walioshiriki kuvunja msikiti katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Amesema, kitendo cha uvunjwaji msikiti huo kinaleta taswira mbaya kwa nchi na kwamba, juhudi za hisia za kidini zinapaswa kukomeshwa kwa maslahi ya nchi. Hivi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News