Msolla: Kindoki hafai, Kakolanya kaharibu

Beno Kakolanya alijingua kwenye kikosi chake cha Yanga akishinikiza kulipwa pesa zake za usajili Sh 15 milioni na mishahara yake ya miezi minne na kukosa mechi nne ambazo Yanga walicheza na kushinda zote na sasa amelipwa mishahara ya miezi miwili na Sh 2 milioni za usajili lakini kocha wake Mwinyi Zahera ameweka ngumu kumpokea mchezaji huyo....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Sunday, 16 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News