Msuva mchezaji ghali zaidi Difaa el Jadida

Mabao 13 ambayo Saimon Msuva ameyafunga kwenye Ligi ya Morocco 'Botola' na moja alilofunga kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), yamempandisha chati na kumfanya awe mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi kwenye kikosi cha Difaa el Jadida ya Morocco....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News