Mtambo Wa Kuchakata Asali Wafungwa Wilayani Manyoni

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida.Akizungumza jana Machi 14,2019 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TFS Tulizo Kilaga amesema mtambo  huo wa kisasa una uwezo wa kuchakata lita 500 kwa siku.Amesema kuwa mtambo huo umegharimu Sh.milioni 80 na unatarajiwa kuondoa changamoto ya uwepo wa asali yenye kiwango duni cha ubora katika ukanda huo na maeneo maeneo ya jirani.“Mtambo huu umefungwa katika kiwanda cha TFS na utatumiwa na wafugaji wa nyuki wa ndani pamoja na nje wote wataruhusiwa kuchakata mazao yao,”amesema Kilaga.Ameongeza kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News