Mtanzania afungwa miaka 110 kwa ugaidi Kenya

RAIA wa Tanzania, Abdul Harun Karim amefungwa miaka 110 jela nchini Kenya,  kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).   Karim alihukumuiwa kifungo hicho na Mahakama ya Lamu mbele Hakimu Mkuu wa mahakama hiyo, T.A. Sitati tarehe 22 Mei 2019, baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka sita ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Saturday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News