Mtanzania Dominicusius Kuhanga anayekipiga Zimbabwe apata shavu Botswana

DOMINICUSIUS KUHANGA ni mtanzania ambaye kwa sasa yupo katika akademi ya vijana ya Aces ya nchini Botswana. Kuhanga ni nani? KUHANGA amezaliwa 27 Nov 2000 Alizaliwa na kukulia mkoani TABORA, TANZANIA Soka lake alianzia wapi? KAISERS FC (Tabora 2012-14) CHIPUKIZI ACADEMY ( Tabora 2014) MARA SPORTS ACADEMY (Musoma 2015-2017) Pia aliiwakilisha Tabora katika mashindano ya Copa coca Cola U-15 mwaka 2013 na 2014 Safari yake ya Zimbabwe? “Nilikuja Zimbabwe mwenyewe Tarehe 22 Desember 2017 kwa ajili ya kufuata nyayo za (Khama Billiat) ambaye alianzia soka lake AYSA na nilisafiri kwa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News