Mtihani mkubwa Stars AFCON 2021

Maandalizi ya mapema ya Taifa Stars ikiwa ni pamoja na kutafuta kocha mpya haraka ni miongoni mwa mambo yaliyotajwa kuwa ni muhimu kwa timu yetu ya taifa ya soka baada ya droo ya kufuzu kwa fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 kuiweka Tanzania katika kundi gumu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Saturday, 20 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News