Mtolea awahi kabla ya dirisha la usajili CCM kufungwa

YAMETIMIA. Mbunge wa Temeke, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Mtolea, hatimaye amejiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mtolea ametangaza kujiuzulu ubunge na uwanachama wa chama hicho kuanzia leo Alhamisi, tarehe 15 Novemba 2018. Mbunge huyo amewahi kabla ya muda uliotangazwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa leo Novemba ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News