Muhimbili: Tumebaini ugonjwa wa ajabu unaomtesa Mariam

UGONJWA wa ajabu unaomsumbua Mariam Rajab Mimbe (25), Mkazi wa Singida, sasa umebainika. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ibrahim Mkoma, Daktari Bingwa wa Masuala ya Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) leo tarehe 24 Aprili 2019 amesema, tayari wamebaini ugonjwa huo na sasa atapelekwa katika Hospitali ya Ocean Road ili kuanza matibabu. Akizungumza ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News