MUSWADA KUTAKA MIGOGORO YA MIKATABA ISULUHISHWE NCHINI WATUA BUNGENI

Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ubia Baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), ambao pamoja na mambo mengine imeainisha kuwa migogoro ya miradi ya wabia hao, itaamuliwa na vyombo vya kisheria vya Tanzania kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Hata hivyo kambi ya upinzani bungeni, imeonyesha wasiawasi juu ya kifungu hicho ikisema wawekezaji wakubwa wanaamini mahakama za nje zaidi kuwa ziko huru. Wakati  upinzani wakisema hivyo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akiwasilisha muswada huo  bungeni jana, alisema...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News