Muswada uliokwama kwa kukosa akidi kupitishwa leo bungeni

Muswada wa Sheria Mbalimbali namba 2 wa Mwaka 2018 ambao uliachwa Ijumaa wiki iliyopita kutokana na kukosekana kwa akidi inayohitajika kikanuni, leo utarudishwa kwa ajili ya kupigiwa kura ya uamuzi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News