MUSWADA WA TAKWIMU WATUA TENA BUNGENI

Na ESTHER MBUSSI,DODOMA Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Takwimu umetinga bungeni, ambapo pamoja na mambo mengine, utamwongezea mamlaka Mtakwimu Mkuu kuanzisha, kurekebisha au kufuta takwimu rasmi zilizokusanywa kwa njia ya tafiti au sensa, bila kuwa na kibali cha Mtakwimu Mkuu ambapo atakayekiuka hayo atakuwa ametenda kosa la jinai. Aidha, muswada huo ambao umo katika Muswada wa Marekebisho ya Mbalimbali Namba tatu, unaopendekeza marekebisho ya sheria sita, ikiwamo Sheria ya Mamlaka ya Rufaa, Sheria ya Uendeshaji wa Mashauri ya Jinai, Sheria ya Mahakama za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News