Mvua kubwa kunyesha Dar

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi waishio mabondeni kuchukua tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha siku mbili mfululizo kuanzia kesho Septemba 26,2018-Mikoa inayotarajia kukumbwa na mvua hizo ni Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News