Mvutano waibuka kesi ya Sheikh Ponda

SERIKALI imeitaka Mahakama ya Rufani kuirudisha kesi ya jinai No. 245 ya mwaka 2012, inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, katika Mahakama ya Kisutu ili atiwe hatiani. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ombi hilo limeibuliwa leo tarehe 11 Juni 2019, katika mahakama hiyo baada ya kudaiwa kuwa, adhabu aliyopewa Sheikh Ponda ambaye ni Katibu wa Jumuiya na Taasisi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News