Mwakagenda awataka wananchi Mbeya kutofanya makosa

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda (Chadema) amewataka wananchi wa kata zinazofanya uchaguzi mdogo wa marudio jijini Mbeya kutofanya makosa na badala yake wawachague wagombea wa Chadema ili kuendeleza nguvu ya pamoja kwani jiji hilo linaongozwa na Chadema....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News