MWAKINYO SASA AMTAMANI AMIR KHAN

LONDON, ENGLAND BONDIA Hassan Mwakinyo wa Tanzania, ametangaza nia ya kuzichapa na bondia maarufu kutoka Uingereza, Amir Khan. Mwakinyo kwa sasa amepanda hadi nafasi ya 16 kati ya orodha ya mabondia 1,830, inayoongozwa na Khan. Mwakinyo (23), Jumamosi iliyopita alimtandika Mwingereza, Sam Eggington (25), katika raundi ya pili na sasa yupo tayari kupambana na Khan. Pambano la Mwakinyo na Eggington la uzito wa kati, lilikuwa la utangulizi kabla ya pambano kubwa la Amir Khan dhidi ya Samuel Vargas. Khan alishinda kwa tofauti ya alama dhidi ya Vargas. Mwakinyo aliingia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News