Mwakyembe aingilia sakata la Wambura

NA ZAITUNI KIBWANA WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema atakutana na viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kupata maelezo ya kina kuhusu sakata la Makamu wa Rais, Michael Wambura, kabla ya kutoa mwongozo. Wambura amerudishwa kwenye nafasi yake baada ya Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutengua uamuzi wa Kamati ya Maadili iliyompa adhabu ya kifungo cha maisha. Akizungumza na BINGWA jana, Mwakyembe, alisema licha ya kuwepo umuhimu wa wizara kutoa mwongozo katika sakata hilo, lakini kabla ya kufanya jambo lolote...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News