Mwakyembe ataka Klabu zisajili vijana

Anna Potinus- Dar es salaam Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amezitaka Klabu zote nchini kusajili timu za vijana na iwapo watashindwa kutekeleza agizo hilo hawatoruhusiwa kushiriki kwenye ligi kuu msimu ujao. Ametoa kauli hiyo leo Juni 15, wakati akizungumza katika harambee ya kuichangia Klabu ya yanga iliyopewa jina la kubwa kuliko ambayo imefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. “Itakua mwiko tunavyoingia msimu unaokuja kwa timu yoyote ligi kuu isiyo na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News