Mwakyembe atangaza neema kwa walimu wa Kiswahili

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametangaza neema kwa wahitimu wa mafunzo ya ualimu wa lugha ya Kiswahili, akieleza kuwa Serikali inawahitaji kwenda katika balozi za Tanzania nchi mbalimbali duniani kufundisha lugha hiyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News