Mwakyembe awataka viongozi TFF wajiuzulu

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewataka viongozi wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kujiuzulu. Amesema iwapo uamuzi wao wa kumsimamisha kazi aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike waliiga kutokana na kile walichokifanya chama cha Soka nchini Misri inabidi viongozi wote wa shirikisho hilo kuachia ngazi. Nchini Misri, Rais wa Chama cha Soka cha nchi hiyo (EFA), Hani Abou Rida alijiuzulu na benchi zima la ufundi baada ya kumfuta kazi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Janvier Aguirre kutokana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News