Mwalala atoa ushauri Yanga

MWAMVITA MTANDA KOCHA wa timu ya Bandari ya Kenya, Ben Mwalala, amesema klabu yake ya zamani ya Yanga, inatakiwa kusajili mshambuliaji mwenye uwezo zaidi  kama ina mipango ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao. Akizungumza na BINGWA jana  kutoka Kenya, Mwalala alisema ameangalia  mkanda wa video  wa mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Township Rollers uliochezwa wiki iliyopita Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam , hajaona mshambuliaji msumbufu kwa Wanajangwani hao. Mwalala alisema katika eneo la mabeki na viungo hajaona tatizo, kwani...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News