Mwale apigwa faini Sh200 mil, mali zake zawekwa kiporo

Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha jana aliweka kiporo uamuzi wa kutaifisha mali za Wakili Medium Mwale, lakini akamhukumu kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh200 milioni baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya utakatishaji fedha....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 3 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News