Mwanajeshi akamatwa na mirungi

Beatrice Mosses, Manyara Jeshi la Polisi mkoani Manyara, linamshikilia Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa Monduli mkoani Arusha kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi kilo 20. Akithibitisha kukamatwa kwa askari huyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Augustino Senga amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa Novemba jana saa 16:50 jioni maeneo ya Minjingu Kata ya Nkaiti, Wilaya ya Babati wakati askari wakiwa katika upekuzi wa magari na ufuatiliaji wa taarifa fiche. “Wakati wanaisimamisha gari lenye namba T543DHJ, aina ya Alteza ikitokea Makuyuni, Arusha...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News