MWENYEKITI UVCCM ZIARANI KANDA YA ZIWA

  Na MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James, anatarajiwa kuanza ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa lengo la kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani. Taarifa iliyotolewa jana na UVCCM ilieleza kwamba ziara ya kiongozi huyo itaanza katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora kuanzia Septemba 20 hadi Oktoba 10. “Ziara inaanza Septemba 20, itaanza katika mikoa ya  Mwanza, Shinyanga na Tabora hadi Oktoba mwaka huu. Dhumuni la ziara ni kukagua uhai wa chama na jumuiya zake, kuimarisha uhusiano wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News