Mwinyi Zahera apiga mkwara mzito wachezaji Yanga

Lulu Ringo, Dar Es Salaam Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amesema mchezaji yeyote ambaye hatotokea katika mazoezi ya kesho Aprili 26 kwa madai ya kudai mshahara hatomjumuisha katika kikosi chake hadi mwisho wa msimu wa ligi 2018/19. Zahera amesema wachezaji wawili tu Kelvini Yondani na Papy Tshishimbi ndiyo wachezaji pekee wenye ruhusa. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Alhamisi Aprili 25, kocha huyo amesema ameshangazwa na maswali mengi kutoka kwa waandishi wa habari juu ya kugoma kwa wachezaji hao kwani hakuwa na taarifa yoyote. “Wachezaji hawa sidhani...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News