Mzee Akilimali azuia mkutano Yanga

Baraza la wazee wa Yanga likiongozwa na Katibu wake mzee Ibrahim Akilimali limetoa baraka zake kuelekea uchaguzi mkuu wa klabu hiyo January 13, 2019 lakini wameonya kuhusu mkutano mkuu wa dhalura wakitaka usifanyike : “Hatuna budi kutoa onyo kwa wajumbe wetu watatu waliobaki madarakani, kitendo cha kukaidi maamuzi ya serikali na vyombo vyake ni utovu wa nidhamu mbele ya serikali.” : “Kufanya mkutano mkuu ni uchochezi kwa serikali, BMT na TFF kitu ambacho kinavyoachiwa kuendelea kitaleta uvunjifu wa amani, utulivu, mshikamano vitu ambavyo ni tunu adhimu katika nchi yetu.”...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News