NA BADO

*Guardiola awajibu Mourinho, Sarri *Adai dozi inaendelea, atawasukumia ndani mwanzo mwisho MANCHESTER, England KAMA ulidhani kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, atapunguza dozi ya vipigo kwa wapinzani, basi ulikuwa umekosea sana kuhusu hilo. Guardiola bado anaonekana kuwa na kiu ya kuendelea kuweka rekodi mbalimbali ndani ya Ligi Kuu England ambayo inaaminika kuwa ngumu zaidi barani Ulaya. Huu ni msimu wa tatu kwa kocha huyo raia wa Hispania na amefanikiwa kuifanya Manchester City kuwa timu hatari zaidi na yenye kuogopeka na wapinzani. Hivi karibuni kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri, alisema kuwafikia...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News