NAHODHA CHELSEA KWENDA URUSI

LONDON, England KLABU ya Spartak Moscow ya Ligi Kuu ya Urusi, inaongoza mbio za kuiwania saini ya nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry. Terry mwenye umri wa miaka 37, anatarajiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo.   The post NAHODHA CHELSEA KWENDA URUSI appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News