Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam Mhe. Trinh Dinh Awasili Zanzibar na Kufanya Mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akisalimiana na Mgeni wake Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam Bwana Trinh Dinh Dung aliyefika Ofisini kwake kwa mazungumzo.Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam Bwana Trinh Dinh Dung Kulia akiongozwa na Mwenyeji wake Balozi Seif kuelekea Ukumbi wa Mikutano kwa mazungumzo yao Rasmi.Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam Bwana Trinh Dinh Dung akitia saini Kitabu cha wageni mara tu baada ya kufika Ofisini kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. Ujumbe wa Vietnam ukiongozwa na Naibu Waziri...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News