Naibu Waziri : Uwekezaji Wa Mshahara Ni Jukumu La Mfanyakazi

Serikali imeeleza kuwa uwekezaji wa mishahara kwa wafanyakazi nchini ni jukumu la mfanyakazi mwenyewe kwa kuwa mshahara ni mali ya mfanyakazi hivyo anaweza kuutumia kwa kuwekeza au kuto kuwekeza.Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu maswali ya Mbunge wa Viti maalum Mhe. Mwantum Dau Haji, aliyetaka kujua Serikali inasema nini kuhusu uwekezaji wa mishahara kwa watumishi wa umma na kuwepo kwa ucheleweshaji wa mishahara kwa Watumishi wa Umma..Dkt. Kijaji alieleza kuwa Serikali kwa upande wake inawalipa mishahara wafanyakazi wake...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News