Nassari avuliwa ubunge akiwa kazini

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), amevuliwa ubunge kutokana na kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, huku mwenyewe akisema amepokea taarifa hiyo akiwa kwenye kazi za kibunge mkoani Kilimanjaro na Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kuvuliwa ubunge wa Nassari kunafanya Chadema kupoteza wabunge nane tangu Uchaguzi Mkuu wa 2015, ambapo kati yao saba walijiuzulu uanachama wa chama hicho na baadaye kuteuliwa tena kuwania nafasi zao kupitia CCM. Jana Spika wa wa Bunge, Job Ndugai, alimwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News