Nchi za Afrika Mashariki kuwasilisha bajeti za mwaka wa fedha 2019/2020.

Mawaziri wa fedha wa nchi za Afrika Mashariki leo Alhamisi Juni 13, wanatarajia kuwasilisha bajeti za serikali za nchi zao kwa mwaka wa fedha 2019/2020. Kwa upande wa Serikali ya Tanzania inapanga kutumia takriban dola bilioni 14.3 katika mwaka wa fedha 2019/2020 ikiwa ni ongezeko kutoka shilingi trilioni 32.5 za Kitanzania katika mwaka wa fedha 2017/2018. Bajeti ya Kenya inakadiriwa kuwa dola bilioni 30.2, ambayo ni kubwa kuliko bajeti zote za nchi nyingine za afrika mashariki kwa pamoja. Uganda kwa upande wake inakadiria bajeti ya dola bilioni 10.9 huku Rwanda...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News