Nchi za Afrika Mashariki Zashauriwa Kuutafakari Mkataba wa EPA

Na.Grace Semfuko-MAELEZONchi za kiafrika zimeshauriwa kutafakari kwa mapana zaidi kabla ya kuingia kwenye mkataba wa Mpango wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) baina ya Jumuiya za nchi mbalimbali za Afrika na Nchi za Ulaya Jumuiya za Ulaya ili kuepuka kujitokeza  mikanganyo ya mipango ya uendeshaji wao ya uchumi,  ambapo kila nchi ina vipaumbele vyake.Hayo yamebainishwa Jijini Dar Es Salaam leo na Mtaalamu wa Uchumi, Profesa Daktari Helmut Asche wa Chuo Kikuu cha Leipzig, nchini Ujerumani, Profesa Asche amekuwa mshauri bingwa wa masuala ya uchumi mara kadhaa kwa nchi mbalimbali za Afrika.Akiongea...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News