Ndege Nyingine Mpya Dreamliner kutua nchini Novemba Mwaka Huu

Serikali imesema inatarajia kupokea ndege nyingine aina ya Boeing Dreamliner yenye uwezo wa kubeba abiria 262 iliyotengenezwa nchini Marekani.Dreamliner hiyo  itakuwa ni ya pili baada ya ile ya kwanza ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyotua hapa nchini Julai 8, mwaka jana amabyo hadi sasa inafanya safari zake Entebbe nchini Uganda, Bujumbura nchini Burundi na Visiwa vya Comoro.Akizungumza jana  katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Airbus 220-300 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema Serikali ilipanga kulifufua Shirika la Ndege nchini (ATCL) kwa kununua ndege mpya Saba.“Rais Magufuli alipoingia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News