Ndege ya sita Serikali kutua Tanzania kesho

Ndege nyingine mpya aina ya Airbus A220-300 inatarajiwa kuwasili nchini kesho Ijumaa Januari 11, 2018 mchana ikitokea Canada, na Rais John Magufuli anatarajia kuongoza mapokezi ya ndege hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam (JNIA)  ...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News