Ndugai amtaka Profesa Assad ajiuzulu

JOB Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania  ameshauri  Professa Mussa Assad Mkaguzi na Mdhibiti  Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ajiuzulu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam Ndugai amesema kuwa Profesa Assad amelinajisi bunge na kwamba bunge halina imani naye hivyo ajiuuzulu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News