Ndugai amvaa Zitto uchambuzi taarifa za CAG

Wakati Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe akitumia majukwaa mbalimbali kuchambua ripoti ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kwa mwaka wa fedha 2017/18 ulioishia Juni mwaka jana, Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtaka kuacha kuwaaminisha Watanzania kuwa kila kilichomo katika taarifa hizo kina ukweli....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News