Ndugai ataja wabunge, mawaziri vinara wa utoro bungeni

Fredy Azzzah-Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewataja wabunge na mawaziri wenye maudhurio madogo zaidi katika vikao vya kamati za bunge na vile vya bunge. Ndugai alisema orodha hiyo inatokana na maudhurio ya wabunge na mawaziri kwenye mkutano wa 11 ambao lilikuwa Bunge la bajeti pamoja na mkutano wa 12. Ndugai alisema wabunge wa mwisho kabisa na maudhurio yao kwenye mabano kuwa ni Mbunge wa Mbunge wa Jimbo la Mpendae (CCM), Salim Turki (14%), Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman nchambi (9%) na Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema (7%)....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News