Ndugai ataka tamko la serikali kuhusu Watanzania Kupewa Masaa 24 Waondoke Kenya

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameitaka serikali kutoa tamko kufuatia kauli yenye kuashiria ubaguzi aliyoitoa mmoja wa wabunge wa Kenya.Amesema hayo kufuatia kusambaa kwa video mtandaoni ikimuonesha Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi 'Jaguar', akitishia usalama wa wageni mbalimbali wanaofanya kazi pamoja na biashara nchini humo.Leo Jumanne, Juni 25, Mbunge wa Rufiji-CCM, Mohammed Mchengerwa amehoji bungeni juu ya umuhimu wa Serikali kutoa ulinzi kwa Watanzania wanaoishi, kufanya kazi pamoja na biashara nchini Kenya, ndipo Spika Ndugai alipotoa rai hiyo kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 25 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News