Ndugai atoa msimamo hoja ya Zitto sakata la CAG

Saa chache baada ya kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kumuandikia barua katibu mkuu wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kuhusu mzozo kati ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad na Spika wa Bunge, Job Ndugai, kiongozi huyo wa Bunge la Tanzania naye amejibu mapigo kwa kuliandikia barua Bunge hilo akieleza kuwa haliwezi kuingilia kati jambo hilo kwa kuwa linaihusu Tanzania....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News