NDUGAI AWAPIGA ‘STOP’ WABUNGE KUINGIA BUNGENI NA KOPE, KUCHA BANDIA

  Mwandishi Wetu, Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo amewavunja wabunge mbavu baada ya kupiga marufuku wabunge waliobandika kucha na kope bandia kuingia katika Ukumbi wa Bunge. Spika Ndugai amesema hayo wakati wa kipindi cha maswali na majibu, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Fatma Tawfiq kuhoji idadi ya wanawake walioathirika macho kutokana na matumizi ya kope bandia kwani baadhi ya wanawake wameathirika na vipodozi vikiwamo kucha za na kope za kubandika. Baada ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndungulile kujibu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News