Ndugai awashushia vijembe wapinzani bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo tarehe 15 Novemba 2018 akiwa bungeni jijini Dodoma, amewatania wabunge wa upinzani akiwataka kuvumiliwa kuona wabunge waliohamia CCM wakitokea kwenye vyama vyao, wakisimama bungeni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Spika Ndugai ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa Babati mjini aliyetokea Chadema na ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News