Ndugai, mbunge Masele watuhumiana bungeni

Hali hiyo imetokana na taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kupendekeza mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele kusimamishwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge  baada ya kumkuta na hatia ya utovu wa nidhamu na kugonganisha mihimili ya Serikali. Hata hivyo,  Spika Ndugai alilitaka Bunge kumpuuza Masele na wabunge kuridhia msamaha wa Ndugai kwa mbunge huyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 23 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News