Ndugai: Viongozi wa serikali ongeeni ukweli mbele ya rais

AMADHAN HASSAN – DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai ameeleza uwepo wa baadhi ya viongozi wa serikali kuthubutu kumdanganya hadharani Rais Dk. John Magufuli kuwa wabunge waliokwenda kuishangilia timu ya soka ya Tanzania “Taifa Stars” inayoshiriki michuano ya AFCON, kwamba waliwadhihaki wachezaji. Spika ametoa kauli hiyo bungeni leo Juni 25, baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, (ACT-Wazalendo), kuomba muongozo kwa kutumia kanuni ya 68 (7), kuhusu jambo lililotkea mapema bungeni. Zitto alilazimika kuomba muongozo huo baada ya Spika Ndugai kutoa ufafanuzi kwamba hakuna mbunge yeyote aliyewadhihaki wachezaji wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 25 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News