NEC yatoa utaratibu uandikishaji wapiga kura

Na NORA DAMIAN -DAR ES SALAAM TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajia kuanza Julai kwa kutumia teknolojia ya kielektroniki. Uboreshaji huo utawahusu wapiga kura wapya waliotimiza miaka 18 na wale watakaotimiza umri huo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwakani. Akizungumza jana wakati wa mkutano na wadau kutoka asasi za kiraia, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage, alisema  kundi lingine litakalohusika ni wale watakaoboresha taarifa zao kama waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika na waliohamia maeneo mengine ya uchaguzi. “Baada ya uchaguzi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News