NEMC IJE NA MAJIBU SAHIHI MGODI WA NORTH MARA

KWA miaka mingi sasa mgodi wa North Mara umekuwa ukilalamikiwa na wananchi wanaouzunguka kwa kile wanachodai kuna maji yenye sumu yanatiririshwa kwenda yalipo makazi ya watu. Maji hayo yanayodaiwa kuwa kemikali zinazotumika katika shughuli zote za uchimbaji, yamekuwa na athari kubwa kwa binadamu ambao wakati mwingine wanakwenda kuchota maji ya Mto Thigite kwa matumizi yao ya kila siku. Ni miaka mingi sasa kumekuwapo na malalalamiko ya aina hii, huku wananchi kadhaa wakionyesha miili iliyochubuka kwa kile wanachodai ni athari zinazokana na maji hayo. Kutokana na hali hiyo, Serikali imekuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News