Neymar ana kwa ana na polisi

RIO, Brazil STAA wa PSG, Neymar, ametua Sao Paulo na kufika kituo cha polisi kwa mahojiano juu ya kesi ya kubaka inayomkabili. Neymar aliambatana na wanasheria wake ambao wanaisimamia kesi hiyo ili kujibu tuhuma zinazomkabili katika kituo hicho. Hata hivyo, mbele ya askari mpelelezi aitwaye Juliana Bussacos, Neymar alikanusha madai ya mwanamke huyo aliyetajwa kukutana naye kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram. “Nitazungumza kwa kifupi sana, nashurukuru sapoti ambayo naipata kutoka kwa mashabiki wangu, naamini ukweli utajulikana, sina shaka juu ya hilo,” alisema Neymar....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News