Neymar azua hofu PSG

PARIS, UFARANSA MSHAMBULIAJI wa Paris Saint Germain, Neymar Jr, amezua hofu huenda maumivu ya nyonga aliyopata katika mchezo dhidi ya Bordeux yatamweka nje ya uwanja kwa muda mrefu. Mbrazil huyo aliumia juzi akiwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa dhidi ya Bordeux na kulazimika kutolewa nje ya uwanja dakika ya 58 na nafasi yake kuchukuliwa na Eric Choupo-Moting. Tukio hilo lilitokea katika mchezo ambao PSG ililazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 licha ya kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo. Neymar ndiye aliyeifungia PSG bao la kwanza katika kipindi...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News