Niacheni: Koscielny agoma kurudi, alazimisha kupigwa bei Arsenal

LONDON, England HALI si shwari katika kikosi cha Arsenal, wakati huu ambao mashabiki wao wametulia wakisubiri kuona timu yao watasajili mchezaji gani, mambo yamezidi kwenda mrama. Mpaka sasa wamefanikiwa kupata saini ya mchezaji kinda kutoka Brazil, wala mashabiki wa Arsenal hawajashtuka, jambo pekee ambalo linawatia hofu ni hili la nahodha wa kikosi hicho, Laurent Koscielny kugoma kurudi akishinikiza kuuzwa.   Katika hali ya kushangaza ni kwamba beki tegemeo wa Arsernal, Koscielny, amempa wakati mgumu kocha wa timu hiyo Unai Emery, baada ya kugoma kusafiri nchini Marekani, ikiwa ni ziara ya...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News